Exodus 27:16

16 a“Kuhusu ingilio la ua, weka pazia lenye urefu wa dhiraa ishirini
Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.
la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi. Pazia hilo litashikiliwa na nguzo nne na vitako vinne.
Copyright information for SwhKC